Download App

Chapter 2: Sehemu ya 2:Kabla ya kesho

Asteria na wanawake wengine wakapelekwa kwenye eneo la kuuza wanawake.

"Sarafu mia tatu za dhahabu."Akapangiwa bei.Alikuwa akitetemeka hasa baada ya kugundua yupo karne ya zamani hivi.

"Asa unamuwekaje sokoni bila kutuonyesha vya ndani..mvue nguo zote!"Mwanaume mmoja mwenye uchu akasema na kumfanya Asteria ashtuke.

"Haina shida."Akasema yule bwana lakini ghafla akaja mwanaume mmoja baunsa kwelikweli na kutoa sarafu mia tatu za dhahabu.

"Namtaka."Akasema na kumbeba Asteria.Akaenda nAe mpaka kwenye mto mkubwa ambapo alikuwa mwanamke mrembo aliyevalia mavazi ya gharama aitwaye Abrenda.

"Sultana..."Yule mwanaume akaita na hapo Abrenda akageuka na kuwatazama.

Taratibu akamsogelea Asteria na kumtazama.

"Ulikuwa wapi.?"Akauliza Abrenda na kumfanya Asteria ashangae.Alikuwa wapi kivipi tena.

"Sophia ulikuwa wapi wewe mpaka unataka kuuzwa huko.Hutulii na umetkweka nyumbani tangu juzi."

Abrenda Akasema lakini Asteria hamuelewa.Kiarabu na yeye wapi na wapi.

"Mjibu Sultana wewe.!"Baunsa akafoka na kumpiga mgongoni Asteria.

"Mh mh."Asteria akaguna kwa kutojua.

"Aya twende huku!"Baunsa akamsukuma Asteria kutoka naye mahali pale.Asteria alifanya na kijakazi wa ndani wa Abrenda ambaye walimuagiza kutoka mbali.Sasa Asteria hakujua ni wapi anapelekwa.

Wakaingia garini(la farasi na kutoka haraka eneo lile.

"Bora hata nimekupata kabla ya kesho."Abrenda Akasema na kumfanya Asteria ajiulize kwanini.

"Kwanini?"

"Kaka Arash na Salimu pamoja na Osman wanarejea kesho kutoka mafunzoni.Walienda kujifunza ngumi na mbinu za kivita."

Abrenda Akasema na kumfanya Asteria akae kimya.Kusoma quran ndiko kuliko msaidia leo kuongea na waarabu hawa.

Basi wakaelekea mpaka kwenye kasri kubwa vibaya mno la ngome nzito ya alchoraz.

"Mungu wangu! Asteria akashangaa baada ya kuliona kasri la kuvutia mno lenye ulinzi mkali.

"Twende ndani."Baunsa akamuamrisha ambapo akampeleka kwenye chumba cha kulala watumishi.Akabadilishwa mavazi na kuvaa kama watu wengine.Alipendeza sana ingawa ni nguo za hali ya chini.

Baada ya kuandaliwa akaitwa na Abrenda.Alimkuta Abrenda akiwa anaoga ambapo akachukua jagi la maji na kumwagia.

"Nataka tu uwe makini..ama la nikupe sifa za kaka zangu..Salimu,huyu wa tatu kuzaliwa.Ni mwema sana.Osman ni malaya sana.wanne kuzaliwa.Arash.....huyu ni hatari sana.unapaswa kukaa nAe mbali.Ni mkatili na hana huruma.Umeelewa?"Abrenda Akasema na kumfanya Asteria ashtuke.Akatikisa tu kichwa kukubaliana na Abrenda.


Load failed, please RETRY

Weekly Power Status

Rank -- Power Ranking
Stone -- Power stone

Batch unlock chapters

Table of Contents

Display Options

Background

Font

Size

Chapter comments

Write a review Reading Status: C2
Fail to post. Please try again
  • Writing Quality
  • Stability of Updates
  • Story Development
  • Character Design
  • World Background

The total score 0.0

Review posted successfully! Read more reviews
Vote with Power Stone
Rank NO.-- Power Ranking
Stone -- Power Stone
Report inappropriate content
error Tip

Report abuse

Paragraph comments

Login