/ History / TUFANI YA MAFANIKIO

TUFANI YA MAFANIKIO Original

TUFANI YA MAFANIKIO

History 10 Chapters 17.4K Views

Not enough ratings

Read
About Table of Contents

Synopsis

TUFANI ya Mafanikio ni riwaya inayomhusu binti Athalia ambaye anatokea katika familia ya kimasikini lakini hayumbishwi na umasikini bali anapambana kuondokana na umasikini huo. Athalia ana ndoto za kusoma na kuufikia uprofesa.

Athalia anasoma huku akikumbana na vikwazo vya elimu pamoja na maisha. Anapita katika misukosuko na kujikuta katikati ya tufani kila upande. Je Athalia atafanikiwa katika tufani hii? Je atakuwa profesa? je atampata Johnson?

majibu ya maswali haya yako ndani ya simulizi hii iliyobeba mikasa na visa mbalimbali

General Audiences

Weekly Power Status

Rank -- Power Ranking
Stone -- Power stone

You May Also Like

Share your thoughts with others

Write a review